Friday, December 28, 2012

Hii ndo treni itayokuwa na wapenzi wa clouds FM kwenda Moro - Mji kasoro bahari


Kuwa sehem ya safari kwenda Moro tiket zinapatika kwa Shs 70,000 kwa kaaida na 100,000 kwa V.I.P nI Kesho tarehe 29 Dec 2012.. hYO NI GO AND RETURN.. FIKA CLOUDS FM  MIKOCHENI KUJIWAIA TIKET YAKO MAPEEEEEEMAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!! wALe SWALA kuliwa live mbali na kuwatazama ni full kujilia ni utamu kwenda mbele

No comments:

Post a Comment