Wednesday, February 20, 2013

R.I.P Justus Esiri

Photo: BREAKING NEWS : R.I.P Justus Esiri

Msani nguli wa filamu nchini Nigeria Justus Esiri afariki dunia usiku wa jana huko nyumbani kwao Nigeria ila chanzo cha kifo chake bado hakijawekwa wazi.

Inaripotiwa kuwa kifo chake kimetokea ghafla na familia yake hadi sasa haijapenda kutoa undani wa kifo chake .

Baadhi ya filamu alizowahi kuigiza ni Wasted Years, Forever, The Prize, Six Demons, Corridors of Power, Last Knight, The Tyrant, The investigation and The Ghost .

Justus alizaliwa November 1942 huko Oria, Abraka, Delta State na alianza kuigiza mwaka 1968.

SOURCE: http://goo.gl/wEcQl 

No comments:

Post a Comment