Monday, March 4, 2013

Mchakato wa kuchagua Papa kuanza leo

 

MAKARDINALI wa Kanisa Katoliki kutoka sehemu mbalimbali duniani, leo wanaanza maandalizi ya kumchagua mrithi wa Papa Benedict XVI, aliyeachia ngazi wiki kiliyopita.
Kwa mujibu wa tovuti ya Vatican City, ilieleza kuwa mkutano mkuu wa Makardinali utaanza leo saa 3.00 asubuhi kwa saa za Vatican (Saa 6.00 mchana kwa saa za Tanzania) kwenye Ukumbi wa New Synod Hall.
Chanzo http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1710552/-/12805dd/-/index.html

No comments:

Post a Comment