Saturday, August 25, 2012

DC ALIZWA NA UTENDAJI WA OVYO WA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA

Mkuu wa wilaya  ya Nkasi , Mhe.Idd Kimanta alijikuta akiangua kilio kwa  uchungu  kutokana na utendaji usiofaa  wa Mkurugenzi  na wakuu wa idara ya halmashauri hiyo  mbele ya baraza la madiwani  mjini Namanyere. 



Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Nkasi Bi Saada Mwaruka(kushoto) akiwa kwenye Kikao hicho pembeni mwa Mkuu wa Wilaya ya Nkasi ambae alisikitishwa mno na utendaji wa Halmashauri hiyo ya Wilaya.

(Picha zote na Walter Mguluchuma)

No comments:

Post a Comment