DANCE MIA MIA YALIYOFANYIKA JANA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB

Tanzania Queens wakishambulia

TZ- QUEEN

Kundi la Best Friends likifanya mambo wakati wa fainali ya mashindano ya Dance Mia Mia yaliyoandaliwa na kituo cha radio na televisheni ya EATV/ Radio kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.

umbe hadi vipaji vya kudansi unaangalia? Mi nilidani BSS tu.... Hapa Salama Jabir akijiachia na mdau wakati wakishuhudia fainaili ya mashindano ya Dance Mia Mia yaliyoandaliwa na kituo cha radio na televisheni ya EATV/ Radio kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam jana

Watangazaji wa live uwanjani, Saigon na mwenzake wakipozi kwa picha wakati wa fainali ya mashindano ya Dance Mia Mia yaliyoandaliwa na kituo cha radio na televisheni ya EATV/ Radio kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es

Twende sasa... Tanzania Queens wakiwa mzigoni
No comments:
Post a Comment