Thursday, August 30, 2012

MISS MWANZA KUFANYIKA IJUMAA NDANI YA YATCH CLUB MWANZA by John Bukuku on August 30, 2012 in MITINDO with No comments Baadhi ya washiriki wa shindano la Miss Mwanza linalotarajiwa kufanyika ijumaa wiki hii mjini Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuingia kwenye shindano

 Baadhi ya washiriki wa shindano la Miss Mwanza linalotarajiwa kufanyika ijumaa wiki hii mjini Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuingia kwenye shindano hilo, Shindano hilo litafanyika Yacht Club jijini Humo.
udhamini mkubwa kabisa wa Redd’s, CxC, Cocacola,RFA,  Star time, Stoper Entertainment, 2 sister Salon, Isamilo Lodge, Photo Spot, mama Nyimbo Decoration, Whitney Fashion na EF Outdoors.Shindano hilo linataraji kuwakutanisha miamba wawili wa Miondoko ya pwani, Bibie Hadija Omar Kopa na mkongwe Mwanahawa Alli na mkali mwingine Bob Haisa.

No comments:

Post a Comment