Mrembo Lisa Jensen ambaye ni Miss World
Tanzania 2012 amerejea jijini Dar es Salaam leo akitokea nchini China
alipokwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya Dunia mwaka huu na
kupokelewa na viongozi kadhaa wa Kamati ya Miss Tanzania akiwepo
Mkurugenzi wa Kino International Agency waandaaji wa Miss Tanzania
Hashim Lundenga (kulia) aliyefika uwanja wa ndege wa JNIA Dar es salaam
kumpokea

No comments:
Post a Comment