Friday, September 7, 2012

BAADA YA KUONA AWAELEWI WANAWE MAPACHA IKABIDI AWAPE NAMBA ILI WASIMPE PRESHA

Mapacha 
Watoto Mapacha wanne wanaofanana kiasi cha mzazi wao kuwachanganya akaona isiwe taabu huyoo kwa kinyozi weka staili ya namba kichwani unafanya masiara na Mama wewe.Hiyo ni baada ya kufikisha miaka 6 hivyo wanatakiwa kwenda Shule nao wamefanana mno. Baada ya hapo ni mwendo wa kuwaita kwa namba kama unavyowatambua wachezaji uwanjani



No comments:

Post a Comment