Sunday, September 23, 2012

KUVUJA KWA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU 2012/2013

.Nitoe pongezi zangu za dhati kwa jamaa aliyetupatia taarifa hizi muhimu. Ni jambo la maana na la heshima kwamba jamaa has managed to grant us trust worthy information to most of us.

Kabla sijaendelea natangaza maslahi na hayo matokeo kwani ni moja ya expectant 1st year udsm. Kwa hiyo niko pembeni na mgogoro wa kimaslahi. Nionavyo mimi tcu wanadeserve hili lilowakuta. 


They had a full month to process the applications through comp system which is trusted and worthy of use all over the world cause it's speedy and accurate. 

Sasa kama katika mazingira hayo wameshindwa kuweka kila kitu sawa..,hii ni adhabu tosha na siku nyingine wajifunze.

Waungwana mtakumbuka vyema programs zilikuwa zinaandikwa not elligible na elligible ilionesha kama vile mambo yanaharikishwa sana na wengi tulitegeme majibu mapema kumbe zote zilikuwa mbwembwe tu.


Hao IT officers wanaonekana kupwaya kiutendaji eti baada ya dsm kuvuja wakafunga servers ili watu wasione not yet processed hali tokeo liko nje. Waache uzembe wawe mahiri na wenye kasi. Next year lisitokee. 

Wale wadau wa vyuo vingine vuteni subira hadi kila kitu kitengamae. Wa dsm tujiandae vyema kiakilli. Tena nisihi tuzitangulize mind zetu chuoni ili tukifika kazi iwe moja kitabu tu kwa maendeleo yetu binafsi na umma kwa ujumla. 

http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/305920-selection-upload-tcu.html

No comments:

Post a Comment