Monday, September 3, 2012

TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2012 LAITIKISA SHINYANGA, WAKAZI WAKE WAKIRI WAZI HAKUNAGA KAMA FIESTA

Msanii Ommy Dimpozi akiimba mbele ya mashabiki wake.



Mashabiki wakifuatilia kwa ukaribu tamasha la Serengeti Fiesta, Shinyanga usiku wa kuamkia leo kwenye uwanja wa Kambarage.




Mwimbaji Winfirda Josephat Recho akiwajibika jukwaani usiku wa kuamkia leo, katika tamasha la Serengeti Fiesta, mkoani Shinyanga, katika Uwanja wa Kambarage.




akionyesha manjonjo yake katika tamasha la Serengeti Fiesta, lililofanyika mkoani Shinyanga usiku wa kuamkia leo.

Mashabiki wakifurahia burudani kutoka katika tamasha la Serengeti Fiesta, mkoani Shinyanga.

Profesa Jay akifanya vitu vyake katika uwanja wa Kambarage, mkoani Shinyanga, katika tamasha la Serengeti Fiesta 2012.




Msanii Ney wa Mitego akikamua katika tamasha la Serengeti Fiesta. 

Msanii Barnabas akijibu mapigo kwa shabiki wake, kwenye tamasha la Serengeti Fiesta, lililofanyika usiku wa kuamkia leo, mkoani Shinyanga.

Mh Temba akiwapa mikono mashabiki wake katika tamasha la Serengeti Fiesta.
Mtangazaji wa Clouds TV, Antonio Nugaz, akitangaza washindi wawili wa pikipiki

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Roma akifanya vitu vyake uwanjani hapo, katika tamasha la Serengeti Fiesta.
Waimbaji wa kundi la Wanaume Family, Mh Temba, Chege na Bibi Cheka wakifanya vitu vyao katika tamasha la Serengeti Fiesta


wakifurahia burudani za Serengeti Fiesta mkoaani Shinyanga.

Msanii chipukizi wa muziki wa Hip Hop kutoka…


Mashabki wakipata burudani za Serengetu Fiesta mkoani Shinyanga usiku wa kuamkia leo kwenye uwanja wa kambarage.

No comments:

Post a Comment