Wednesday, September 5, 2012

UVUMBUZI WA FOLENI DAR NDO HUU, UCHINA WAMESHAWEKA ODA






Basi hilo ambalo ndio refu kuliko yote ulimwenguni likiwa na urefu wa futi 101 linabeba abiria 256 thamani yake kwa basi $10 millioni.Mpaka sasa ni Nchi ya China iliyoweka oda kwa ajili ya kutengenezewa mabasi hayo kutokana na msongamano wa magari unaotokana na uwingi wa wanao miliki magari hivyo ili kupunguza msongamano huo China imeona mabasi kama haya yanafaa.
Je kwa foleni zetu hapa mjini si linafaa hili ?

Unaweza Kusoma zaidi Daily Mail habari kuhusiana na basi hili.




No comments:

Post a Comment