Saturday, September 8, 2012

Wakazi wa Tabora wapagawishwa na Tamasha la Serengeti Fiesta 2012‏

Mmoja wa wasanii mahiri katika miondoko ya hip hop hapa nchini,Mwana FA akiwaimbisha wakazi wa mji wa Tabora wimbo wake wa Yalaiti,usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Ally Hassan Mwinyi,ambapo wakazi wa mji huo walijitokeza kwa wingi.Tamasha hilo jumapili litakuwa linarindima mjini Singida katika kiota cha marahaa kiitwacho Singida Motel.

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mabeste akikamua kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012 usiku wa kuamkia leo kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi,ambapo katika tamasha hilo wakazi wa mji wa Tabora walijitokeza kwa wingi na kujishuhudia vipaji mbalimbali vya muziki.
 
 Msanii Recho akionesha umahiri wake wa kunengua jukwaani akisindikizwa madens wake
  
Moja wa zaolaSerengeti Fiesta 2012,Supa Nyota Ney Lee akitumbuiza jukwaani.

Wakazi wa mji wa Tabora wakiwa ndani ya uwannja wa Ally Hassan Mwinyi wakati tamasha la Serengeti Fiesa lilipokuwa linaondoka

  Dj Zero kutoka Clouds FM akikamua mashine,na kulia kwake ni Hamza Balla,

Rich Mavoko akiliongoza skwadi lake kusakata kiduku

  Pali kuwa hapatoshi ndani ya Tabora usiku wa kuamkia leo.

 Mbunge wa Tabora Mjini,Mh Afeni Rage akisoma moja ya namba ya aliyebahatika kuibuka na bajaji,kulia kwake ni Mkuu wa utafiti wa Clouds .TV,Bwa.Ruge Mutahaba.

 Anaitwa Godzilla,Msanii wa hip hop katika muziki wa kizazi kipya,akiangusha mistari iliyowasisimua mashabiki mbalimbali waliofika kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012 usiku wa kuamkia leo kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi,ambapo katika tamasha hilo wakazi wa mji wa Tabora walijitokeza kwa wingi na kujishuhudia vipaji mbalimbali vya muziki. 

 Nikki Mbishi akishusha mistari yake mbele ya wakazi wa mji wa Tabota.

 Wakazi wa mji wa Tabora wakiwa ndani ya uwannja wa Ally Hassan Mwinyi wakati tamasha la Serengeti Fiesa lilipokuwa linaondoka

 watu walivyojutokeza wingi kwenye tamasha la Serenegeto Fiesta

 Wakazi wa mji wa Tabora wakiwa ndani ya uwannja wa Ally Hassan Mwinyi wakati tamasha la Serengeti Fiesa lilipokuwa linaondoka
 Sir Juma Natura akikamua usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012

 Pichani kulia ni Daffih Dauda Dauda anbaye abaemamai ghetto



No comments:

Post a Comment