WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MHE. DKT. EMMANUEL NCHIMBI akiongea na waandishi wa habari jana ofisini kwake jijini Dar essalaam Kuhusu kuunda tume ya uchunguzi na kuipa mwezi mmoja iwe imeshakamilisha uchunguzi wa tukio la kuuwawa kwa mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel Ten mkoani Iringa Marehemu Daudi Mwangosi aliyekuwa anaripoti habari katika Vurugu za wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na jeshi la Polisi zilizotokea mkoani Iringa katika kijiji cha Nyololo Wilayani Mufindi (PICHA NA PHILEMON SOLOMON ) |
No comments:
Post a Comment