Kwa mujibu wa chanzo chetu, Movie hiyo imeandaliwa na kuandikwa na Seles Mapunda ambaye ndo director mkuu wa "Cross of Love" na kwamba maandalizi yanaendelea vizuri "Maandalizi ya filamu hiyo yapo katika hatua za mwisho kabisa na imebaki kazi ya casting ya washiriki 15 tu"...kilitonya chanzo chetu Hii ni nafasi ya nyingine kwa Diamond kukuza kipaji chake. |
Facebook comments for blogger brought to you by Eddie sucre?
No comments:
Post a Comment