PICHA
yenye utata ya staa wa michano ya Hip-Hop Bongo, John Simon ‘Joh
Makini’, imenaswa ikimuonesha akiwa katika pozi la ‘kimalavidavi’ na
binti ambaye jina halikufahamika, Erick Evarist anairusha hewani.
Kwa mujibu wa mtoa habari, Joh Makini alipigwa picha hiyo akiwa na
mrembo huyo hotelini wakati staa huyo alipokuwa mikoani kwenye shoo zake
za hivi karibuni. |
Paparazi
wetu alipomtafuta Joh Makini ‘Mweusi’ na kumuuliza kuhusu picha hiyo,
alikiri kuifahamu na kuomba ipotezewe kwani hana habari na huyo binti. Source globalpublishers.info |
Facebook comments for blogger brought to you by Eddie sucre?
No comments:
Post a Comment