Monday, October 22, 2012

Wema Kortin kwa Bangi

YALE  madai ya kukutwa na bangi yanayowakabili staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu na ‘bodigadi’ wake wa sasa, Jamilah Msafiri yanaweza kuwapandisha wawili hao kizimbani wakati wowote kuanzia sasa, Mwandishi Wetu anakupasha.
Akiipasha safu hii, mmoja wa maofisa katika jeshi la polisi ambaye ‘aliamuru’ jina lake lisiapie gazetini, alisema itashangaza kama kesi hiyo itafutwa juu kwa juu kwani watuhumiwa walikutwa na vidhibiti.

 

No comments:

Post a Comment