
KOCHA wa muda wa Klabu ya Chelsea ya England, Roberto Di Matteo, leo ametimuliwa kazi kutokana na kichapo cha bao 3-0 kutoka kwa Juventus katika mchezo wa Klabu Bingwa Ulaya jana.
Di Matteo aliyekuwa na mkataba wa miaka 2 na klabu hiyo, alichukua mikoba ya kocha, Andre Villas-Boas Machi mwaka huu.
Matteo alifanikiwa kutwaa kombe la Klabu Bingwa Ulaya pamoja na kombe la FA msimu uliopita akiwa na timu hiyo.
Klabu ya Chelsea itatangaza mtu atakayechukua mikoba ya kocha huyo aliyetimuliwa, japo kuna tetesi kuwa kocha wa zamani wa Liverpool, Rafael BenÃtez anaweza kuchukua nafasi hiyo baada ya kuwa katika mazungumzo na mmiliki wa timu hiyo, Roman Abramovich.
Chelsea this morning fired its coach just a day after another loss in the Champions League. Full statement on Roberto Di Matteo's departure below...
Chelsea Football Club has parted company this morning with Manager Roberto Di Matteo.
The team's recent performances and results have not been good enough and the owner and the Board felt that a change was necessary now to keep the club moving in the right direction as we head into a vitally important part of the season.
Get more...........http://lindaikeji.blogspot.com/2012/11/chelsea-fies-coach-roberto-di-matteo.html#more
No comments:
Post a Comment