HABARI: Msanii wa filamu nchini Tanzania John
Stephano Maganga afariki dunia katika hospital ya Muhimbili kutokana na
Ugonjwa wa KONGOSHO ambao ulikuwa ukimsumbua kwa mda mrefu.
Hali ya Marehemu ilibadilika na kuvimba tumbo ghafla, hali il

iyopelekea kufanyiwa Upasuaji ili kuokoa Maisha yake lakini ilishindikana na hatimaye kupoteza uhai wake.
Msiba wa Marehemu John Stephano Maganga uko nyumbani kwao Mwananyamala na taarifa za mazishi zitatolewa
Enzi za uhai wake marehemu aliwahi kuigiza filamu kama Mrembo kikojozi, Chanzo ni mama , Barmaid na nyinginezo.

No comments:
Post a Comment