Wednesday, November 14, 2012

RIHANA AJIWEKA KAMA ALIVYOZALIWA!!!


 Kama BonGo tunavibwanga atuwezi kuwafikia wenzetu wa majuu nazungumzia pande za state huko.... Rihana amewachanganya akili baada kupiga picha iliyoziba kajisehemu ka Maziwa na sehemu ya uzazi kiaina aina huku wale wanaume wakwele wakiwa wapewa STOP ya kibaba ya jicho pale alipotumia mikono kuziba sehemu ya uzazi.
Hiyo cover ilikuwa akitweet cover hilo kwa mashabiki wake na kuandika, “”GQ’s man of the year?! When will your fave? #histoRih #GQ” We guess she mean’t to ask “Who is your fave.”
Wakati huo huo Rihana ametoa remix ya hit single yake “Diamonds” ambapo amemshirikisha rapper Flo Rida.

No comments:

Post a Comment