
Zaidi ya abiria 200 wamekwama katika stesheni
ya Shirika la Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) Jijini Mbeya, kufuatia
mgomo wa wafanyakazi wa shirika hilo uliosababisha Treni ya abiria
kutoka Dar es Salaam kwenda Kaprimposhi nchini Zambia kushindwa kufanya
safari zake.
picha ITV PAGE
No comments:
Post a Comment