Mipango ya ujenzi wa 'Flyover' ya Tazara uko tayari, kinachosubiriwa sasa ni serikali ya Kijapani kuidhinisha mipango hii na ujenzi kuanza maana wao ndio wanaolipa. Na ujenzi ukikamilika unatarajiwa sana kupunguza foleni za magari jijini Dar es Salaam

No comments:
Post a Comment