Thursday, December 27, 2012

DAR LIVE ILITISHA NA NI HATARI HATARI!!!!!!!!

Mpiga gitaa la besi wa Extra Bongo, Hosea Mgoachi akijiachia na shabiki jukwaani.
 Dimpoz na wasanii wake wakiwasha moto kuwakumbuka wapendwa wao waliotangulia mbele ya haki.
 Dimpozi akifanya yake kwa  stejini.
 Zito kabwe kumbe nae mbaya
 Madansa wa Extra Bongo wakinogesha zaidi burudani za X-Mas ndani ya Dar Live.
 Madansa wa Dimpozi wana hatari ni ufundi kwenda mbele

 Dimpozi ni full ngai ngai
 Diamond na madansa wake wakifanya yao  stejini.
 Diamond akipambisha jukwaa kwa track yake ya NATAKA KULEWA, ni full kutapikiana stejini.
Mtangazaji wa MTV Base na Choice FM, Vanessa Mdee akichombezana na Ommy Dimpoz wakati wakiimba wimbo wao wa Me & You stejini.

 kigoma ikiwa imewakilishwa na DIAMOND ni hatari kabisa

No comments:

Post a Comment