Thursday, December 27, 2012

GARI LATEKETEA KWA MOTO NJE YA OFISI ZA MKUU WA MKOA ILALA JIJINI DAR MUDA MFUPI ULIOPITA


Gari aina ya Toyota Starlet lenye namba za usajili T 382 BUN likiteketea kwa moto nje kidogo ya ofisi za Mkuu wa Mkoa, Ilala Boma jijini Dar es Salaam muda huu.…
 Baadhi ya vijana wa eneo hilo wakijaribu kukwapua baadhi ya spea za gari hilo wakati likiungua.

No comments:

Post a Comment