Tuesday, January 1, 2013

BREAKING NEWS: SAJUKI ATUNAYE TENA

Msanii Juma Kilowoko (SAJUKI)amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam.

Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu.
Endelea kufyatilia blog hii kwa taarifa zaid http://www.kijacho.blogspot.com

No comments:

Post a Comment