Taarifa zisizo rasmi zinasema polisi zaidi ya watatu wamepoteza maisha. |
Njia zikiwa zimefugwa, na wapigania gesi yao. Mtwara |
Eneo lililotengwa kwa ajili ya viwanda likiteketea kwa moto. Eneo liko karibu na bahari. Lilikuwa linamilikwa na serikali na ujenzi chini ya kampuni kutoka Marekani ulikuwa unaendelea. Wazungu wamekusanya baadhi ya vitu vyao na kuondoka eneo hilo. |
Magari yakiwa katika hali mbaya |
Polisi wakiwa wajipanga kukabiliana na Wananchi wanaochafua hali ya hewa |
Facebook comments for blogger brought to you by Eddie sucre?
No comments:
Post a Comment