Friday, June 14, 2013
Mwili wa Langa Kuagwa juma tatu mchana
Marehemu Langa Kileo ataagwa siku ya Jumatatu saa 7 mchana nyumbani kwao Mikocheni nyuma ya hospitali ya AAR. Marehemu anatarajiwa kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni Jumatatu saa kumi jioni.
Facebook comments for blogger
brought to you by
Eddie sucre?
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment