UKUTA WA ENEO LA NDANI YA KITUO CHA
MABASI UBUNGO BUS TERMINAL UMEANGUKIA MAGARI ZAIDI YA 24 YALIYOKUWA
YAMEPAKI ENEO AMBALO HUTUMIKA KUPAKI WAKIWA WANASINDIKIZA ABIRIA NA
NDUGU ZAO,CHANZO CHA AJALI HIYO NI MKANDARASI WA ENEO HILO ALIKUWA
ANABOMOA UKUTA HUO,NA PIA IMERIPOTIWA KUWA KUNA BAADHI YA MAJERUHI.
Facebook comments for blogger brought to you by Eddie sucre?
No comments:
Post a Comment