Wednesday, February 6, 2013

LULU AMPA POLE WASTARA, NI HUZUNI JAMANI



 
 MWISHONI mwa wiki iliyopita, msanii Elizabeth Michael “Lulu” alikwenda kumpa pole msanii mwenzake Wastara Juma kwa kufiwa na mumewe, Sajuki...amHuzuni ilitawala nyumbani kwa Wastara mara baada ya Lulu kuwasili, lakini hatimaye baada ya muda mrefu wa maongezi nyuso za wasanii hao zikapambwa na tabasu.

appreciated  www.saluti5.com

No comments:

Post a Comment