UJUMBE KUTOKA KWA RAIS WA MAREKANI OBAMA KWA WAKENYA
Ujumbe uliopo katika video ukilenga uchaguzi ujao, kama taifa kushikama, na amani itakayoweza kukamilisha tukio kubwa la kihistoria, hivyo wamewahasa sana Wakenya kuwa kitu kimoja, ujumbe huo ulioanza kwa kiswahili "HABARI YAKO" hii ni kuona umuhimu wa kujivunia lugha yako. na kuheshimu taifa la kenya na Afrika mashariki kwa ujumla.
No comments:
Post a Comment