2013 Julai itatimia miaka 60 tangu Korea Kaskazini ,
China kusaini mkataba Marekani ,UN kumaliza vita vya miaka mitatu
vilivyosababisha vifo vya watu wengi.
Vitisho hivi vinakuja baada ya Marekani na Korea Kusini kuanzisha mazoezi ya kawaida ya kijeshi, na imeyaamrisha majeshi yake kukaa kwa tahadhari na kuwa tayari kushambulia wakati wowote. Korea Kaskazini ilitoa tishio jipya kuishambulia Marekani chanzo http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kimataifa/-/1597284/1736992/-/13tdryqz/-/index.html |
Facebook comments for blogger brought to you by Eddie sucre?
No comments:
Post a Comment