Siku
kama ya leo miaka 49 iliyopita ndo siku aliyozaliwa mwanadadiva
marehemu Whitney Houston ambae alifariki mwaka huu 2012 tarehe 11
February, Leo kama angekuwepo angefikisha miaka 49. Mtoto wake anayeitwa Bobbi Kristina the only daughter wa Whitney
Houston anasherekea birthday ya mama yake..”Kweli nimemmiss mama sana,
Kesho ni birthday yake” Jana Alitweet Bobbi Kristina.
“Ikifika saa 6 Usiku itakua birthday ya mama na nitasherekea siku yake ya kuzaliwa nitasherekea sana mpaka sijui nisemaje” Akaongeza “ Kwa sababu unastahili mama hakuna kingine unachostahili zaidi ya hili ni kusherekea siku yako ya kuzaliwa”
Facebook comments for blogger brought to you by Eddie sucre?
No comments:
Post a Comment