Rick ross ndio boss kwenye charts za Billboard kwa mara nyingine tena,kwa kuishika nafasi ya kwanza kwa mauzo ya album yake ya tano "God Forgives, I Don't" kwa kuuza kopi 218,000 kwa wiki yake ya kwanza.
kutokana na Nielsen SoundScan, imekua ni album yake ya nne ya kukamata namba moja katika chati na mauzo ya juu zaidi tangu alipoingia katika game.
albam za mwanzo zilizowahi kukamata nafasi ya kwanza ni pamoja na ile ya kwanza kabisa 2006, Port of Miami, Trilla 2008, na Deeper Than Rap, 2009. Teflon Don, ya mwaka 2010.
MAUZIO YA HIPHOP ALBUM: WIKI INAYOISHIA 5/08/2012
#1. Rick Ross -God Forgives, I Don't akiwa ameuza kopi 218,000 (219,000)
#5. Nas - Life Is Good, 32,000 (226,000)
#27. Maybach Music Group Presents... - Self Made, Volume 2 - 11,000 (201,000)
#42. Flo Rida -Wild Ones - 7,500 (68,000)
#44. Nicki Minaj -Pink Friday: Roman Reloaded - 7,300 (606,000)
Facebook comments for blogger brought to you by Eddie sucre?
No comments:
Post a Comment