Sunday, August 12, 2012

RAIS KIKWETE AONANA NA RAIS MPYA WA GHANA, ATEMBELEA MASHAMBA YA MANANASI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akiagana na Rais John Dramani Mahama wa Ghana nyumbani kwake jijini  Accra jana Agosti 11, 2012 baada ya  kumtembelea na  kumpa pole ya msiba wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Marehemu John Evans Atta Mills aliyezikwa juzi.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo  na Rais John Dramani   kumpa pole ya msiba wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Marehemu John Evans Atta Mahama wa Ghana nyumbani kwake jijini  Accra jana Agosti 11, 2012  wakati alipomtembelea kiongozi huyo mpya wa Ghana 

No comments:

Post a Comment