Rihanna a.k.a Riri amejitosa kwenye
Reality Tv show inayoitwa Styled to Rock ambayo ni show yake inayokua
ikiendelea (Series). Riri akiwa kama mtayarishaji kiongozi ataleta
designers wapya ambao wanaweza kuwa disigners wazuri wa kizazi kijacho..
Ameita team ya wataalamu akiwemo mwanamitindo Lysa Cooper, Girls
Aloud’s Nicola Roberts na Henry Holland katika kumsaidia kutafuta vipaji
vipya vya wanamitindo, Wakiwemo watu maarufu kama Katy Perry, Cheryl
Cole, Pixie Lott, Rizzle Kicks, Katy B, Scissors Sisters na Tinchy
Stryder na inategemewa kuanza Agosti 14 saa 3 Usiku.
Facebook comments for blogger brought to you by Eddie sucre?
No comments:
Post a Comment