Thursday, August 9, 2012

EMINEM NA PINK PAMOJA KWENYE “HERE COMES THE WEEKEND”


Mwanahip hop duniani mkali wa Im not afraid Mkali wa pop duniani mwanadadiva Pink, wameungana pamoja na kugonga bonge la track. Slim Shady ameshirikishwa kwenye ngoma inayoitwa “Here Comes the Weekend” an altenartive club banger kutoka kwenye album inayotegemewa kutokaseptember 18th “The Truth About Love”.
kipindi cha nyuma, Pink alishawahi kuelezea jinsi anavyomfeel muasi mwenzake  kupitia SPIN, " nadhani ni mmoja kati ya washari wakali na wenyekuchekesha sana katika sekta ya mziki."  amesema Pink
 Eminem nae alipokua akipiga stories na BBC Radio1, amesema anaheshimu  anachokifanya Pink.
Kama unakumbuka wakali hawa walishagonga ngoma iyonaitwa “ Won’t Back Down”  kutoka kwenye album ya Eminem ya 2010 “Recovery”.

No comments:

Post a Comment