TUHUMA zinaonesha kwamba muigizaji Single Mtambalike ‘Rich’ amezoea kupiga wenzake na kuwajeruhi lakini tukio la sasa linaweza kumfanya aozee jela.
Kwa sasa, Rich anatuhumiwa kumpiga na kumjeruhi, mpigapicha za video wa Televisheni ya Taifa, TBC1, Moses Friday.
Kwa mujibu wa Friday, Rich amemkongoa meno saba na kumvunja taya, hivyo kumsababishia maumivu makali ya kinywa. |
No comments:
Post a Comment