Tuesday, September 25, 2012

TYRA BANKS BILA "MAKE UP" UNAMSAHAU KIUKWELI




STAA wa mitindo duniani, Tyra Banks, bila kupaka ‘make up’ kwenye uso wake ni wa kawaida kabisa kama mtoto wa kijijini.
Hivi karibuni mtandao mmoja wa mamtoni ulitundika picha za mwanadada huyo akiwa katika matembezi ya asubuhi bila kujipodoa.
Picha hizo zinaonesha mwili na uso halisi wa mwanamitindo huyo ambaye alionekana wa kawaida sana kulingana na sifa yake duniani kote.


No comments:

Post a Comment