Monday, October 15, 2012

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza ndugu Liberatus Barlow afariki kwa kupigwa risasi

Photo: TAARIFA; Tunaomba mungu ailaze mahala pema peponi,Roho ya aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza ndugu Liberatus Barlow aliyeuwawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia jana na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi...Je Tanzania yetu inaenda wapi?
TAARIFA; Tunaomba mungu ailaze mahala pema peponi,Roho ya aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza ndugu Liberatus Barlow aliyeuwawa kwa kupigwa risasina watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi

No comments:

Post a Comment