UKISTAJABU YA MUSA ......... MALIZIA MWENYEWE KUHUSIANA NA KISA CHA DIAMOND MSANII WA GUMZO KILA WAKATI
NA MNUKUU
"First of all ningependa sana kutanguliza shukrani
zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa muda huu wote wa kuusimamia na kuuongoza muziki wa
Bongo Flavour kuanzia umeanza hadi leo ulipofikia...
Kiukweli umepiga hatua
kubwa sana,kadri siku zinavyozidi kwenda ndipo muziki huu umekua ukizidi kupata
Umaarufu,kupata Mashabiki na kufatiliwa ndani na nje ya nchi...
Honestly
najivunia sana kuwa mtanzania na kuwa Miongoni mwa Wanabongoflavour hao....
Na hii ni moja ya show Kali ambayo kiukweli katika hii wiki imezua gumzo sana,sifa na kufanya ulimwengu kutaka kuzidi kuufahamu na kuujua muziki wa bongo flavour zaidi kutokana na ubunifu uliofanyika humu ndani ......"
HUYO NDO DIAMOND
|
Facebook comments for blogger brought to you by Eddie sucre?
No comments:
Post a Comment