Thursday, October 11, 2012

HATIMAYE K-LYINN AJIFUNGUA MAPACHA

Aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Jackline Ntuyabaliwe aka K-Lynn amejifungua watoto mapacha.

Kwa mujibu wa vyanzo, K-Lyinn amejifungua mapacha wa kiume wenye afya njema.

Mpekuzi  inampongeza Jackline kwa kujifungua salama

No comments:

Post a Comment