Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitazama ngoma baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro juzi Oktoba 28, 2012 tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wananchi baada ya kuwasili wilayani same Kilimanjaro juzi Oktoba 28, 2012. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi wilayani Same Kilimanjaro juzi Oktoba 28, 2012 kwa ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same. |
Facebook comments for blogger brought to you by Eddie sucre?
No comments:
Post a Comment