Friday, October 26, 2012

STORY NZURI AMBAYO INAKIMBIZA SOKONI, NAZANI WAJUA KUHUSU FACEBOOK


Ni kitabu kinacholeta picha kubwa kwa watumiaji wa Mtandao wa kijamii wa Facebook kuna nafasi kubwa ya kukujuza kwanini Mtunzi huyu  EMMY JOHN ameyagusa maisha yako kwa nafasi kubwa bila ya we kujua ila nahisi inakuhusu sana. ipitie kwa ufupi kupitia Cover yake na imeandaliwa na
UBUNIFU WETU PRINTING PRESS DAR ES SALAAM
WASILIANA NAYE ILI UWEZE KUKIPATA KWA No.0654-960-040 NA 0757-018-510

No comments:

Post a Comment