Tuesday, November 6, 2012

CRAZY GK NA DJ FETTY, WAPO MTAANI NA MAGAMBA YAO ( VYETI VYA DEGREE YA KWANZA)


DJ FETTY
Photo: WAPENZI WA GWAMAKA KAIHULA MTU WENU HUYU HAPA NA WANAE..KAGRADUETI JUZI TU PALE 2maini.
***kimodo***
 AY KUSHOTO KATI NI CRAZY GK NA MWANA F KULIA
MWANA FA KATI NI DJ FETTY MWISHON NI AY
 Mwanamuziki Crazy Gk na Dj Fetty Kutoka Clouds Fm wamefanikiwa Kumaliza chuo na Kupata Degree ya kwanza Pale Chuo cha Tumaini 
Bravo to both of them...... they made it at last....

No comments:

Post a Comment