Tuesday, November 6, 2012

KAULI YA RUGE MUTAHABA KUHUSU HALI YA RAY C



“Alishaanza hatua ya kwanza ya matibabu, anafanya bidii kwenda kwenye hatua ya pili ya matibabu,
kweli kabisa anafanya bidii na kuhusu taarifa kwamba amepelekwa Iringa kupata matibabu ya
kuacha utumiaji wa dawa za kulevya hakuna ukweli wowote,kuna taarifa nyingi za kupotosha
ambazo mimi nilikua naomba watu wangeacha kuzisambaza kwa sababu hazisaidii mtu yeyote yule
na vilevile zinaendelea kulikuza tatizo”

No comments:

Post a Comment