Saturday, November 10, 2012

DIAMOND NDANI YA NGOMA MPYA


Jembe baada ya kutisha na nyimbo yake mpya iliyokwenda kwa NATAKA KULEWA sasa yupo katika hatua ya mwisho na kuachia  Single nyingne itakoitwa Utamu ambayo ni shavu la mwana wa kitaa Dully chini ya P.funk aisee ni hatari ile balaha. jipangeeeee

No comments:

Post a Comment