Friday, November 9, 2012

Kuhusu simu hii ndo hatari kuliko Nexus 4

 Iko potabo kwa kubeba na mvuto wa kipekee
 nazani waiona the way ilivyo
 outlook yake ni hatari, kama LG wanashabiana 
hii picha ambayo inatokana na camera yaNexus 4 ni full digital
uwezo wa camera ni 1280×768
uwezo mkubwa wa NFC, 802.11b/g/n Wi-Fi, wireless uhifadhi wa chaji wa hali ya juu. zile tofauti kati ya samsung na iphone 5 ndo uwezo wa simu hii

No comments:

Post a Comment