Mtangazaji wa Clouds FM Loveness (Diva)
“Am so Angry and Am so f****n Disappointed. Disappointed wit
Everything that surrounds me. So freakin tired!. Neither Or,” ameongeza.
Baadaye ametweet meseji hii ambayo kila mtu ameshindwa kuelewa anamaanisha nini, “6283. Thats the very secret number.”
Na kisha, “Sijakula toka Juzi and have to catch my classes in 20mins
mpaka usiku, have to go to work. Someone needs to bring me food
serious.”
Leo si mara ya kwanza kwa mtangazaji huyo kutweet meseji za aina hiyo
kwani Juzi November 10 alitweet, “If i die today. Gonna miss my sisters
so bad. They are my life. My Everything. My Lito Bro Brian, u wil
always b my Lito hero. Fam, few friends. Will always lov u but thats how
it is. No more to say.”
Ni baada ya kuandika ujumbe mkali unaoashiria kuwa anataka kujiua.
DIVA NAE AJUI KAZINGUA WATU.
No comments:
Post a Comment