Jumamosi wiki iliyopita, msanii Diamond alipata ajali barabara ya chole alipokua akitokea Sleepway kushoot video ya pini lake jipya lenye zengwe hatari tangu litoke (nataka kulewa).
"mida kama ya saa tatu tatu hivi kasoro,nikiwa narudi home, napita mitaa ya arabela mbele kuna Rav 4 mkono wa kulia kuna pikipiki nilikua nataka ku overtake pikipiki, nikataka niikwepe pikipiki kwapembeni kulikua na shimo, nikajaribu kurudi kwenye lami ndio nikaenda kugongana na Rav4..lakini hakuna mtu alieumia,"
"unajua mwisho wa mwaka tena huu, watu wanatoa kafara zao bahati mbaya zinatukuta watu kidogo manguli hazituumizi sana, wepesi wepesi wangeondoka mzima mzima kabisa wangebaki story tu alikufa na ajali, sababu hata ukitazama wanaopata ajali ni wale wanao hit, zinafeli hahhaaaaa i was just kidding." ameema Diamond

Leo hii pia nilipigiwa sim mida ya saa nane na nusu nakuambiwa kuhusu ajali aliyopipata Ommy dimpoz..
"fetty nimepishana na gari la Ommy Dimpoz amepata ajali sasa hivi na limebebwa na Break Down" alisema jamaa."
nikaona kuthibitisha hili, Ommy mwenyewe atafunguka na baada ya kuvutiwa waya akafunguka
"nikweli nimepata ajali maeneo ya Millenium Tower nikiwa naelekea kwa P Funk nilikua nna session kidogo , ghafla aliekuwa mbele yangu akafunga break na nikaingia kwa nyuma..."

No comments:
Post a Comment