
Vilikuwa vibwanga mtaani, hii picha inaonyesha jinsi gani ubunifu wakati wa kupiga kura

Huu mduara wa kupiga kura, watu wakiwa wavumilivu kusubili wakati wao, ingekuwa wabongo we akuna angekubali foleni kama hizi ni kwenye ATM HASWA ZA NMB MWISHO WA MWEZI BONGO
Zoezi likiendelea la kutumia haki yako vizuri

Kibandiko kikionyesha ya kuwa "nimepiga kura"

Makamu wa mpinzani wa Obama
Wadau wa Mr. Romney wakiwa wanasubilia matokeo kwa hamu kubwa. kwenye vombo vya habari

Hapa matokeo yakiwa yametangazwa ya kuwa BARAK OBAMA NDO anaendelea na Ngwe ya kuongoza Marekani

Hii picha ikionyesha THE WINNER BARAK OBAMA ( MSHINDI NI BARAK OBAMA)


Hapa ni shagwe kwenda mbele
Watu wakiwa katika furaha iliyopiliza.... mabango ya Obama yakiwa hewani 




Bwana Romney akiwa katika hali ya furaha ya kizushi, ila amekubali kushidwa, kuweka maslai yaMarekani

Ilikuwa furaha ya ajabu kwa Wamarekani kwa ushindi wao wa kubwaga mpinzani wao Romney
![]() |
| Hapa ndo uongozi Mzima wa MAREKANI ukisherekea na Wapenzi wao wa kweli |

No comments:
Post a Comment