Wednesday, November 7, 2012

PICHA ZA NGONO SIKU HIZI NDO HABARI YA MUJIN, MSANII TOKA BONGO ALIYEKUBALI KUCHEZA PICHA YA NGONO BURE!!!

Hivi karibuni rapper Mystical alisema kuwa kama muziki ukimshinda basi ataingia kwenye uigizaji wa filamu za ngono na kumtaja staa wa movie hizo ambaye angependa kufanya naye kuwa ni Pinky.

Nae Pinky hakucherewa alijibu wakati akihojiwa na mtandao wa TMZ na kusema kuwa nitafurahi kufanya naye movie ya ngono kwaajili ya kuweka kwenye website yangu.

Hata hivyo amesema hatamlipa chochote kwakuwa Mystical bado ni mchanga kwenye industry hiyo hata kama akiwa mzuri vipi kitandani.

No comments:

Post a Comment